Friday, November 15, 2013

Mike Tyson akiri kutumia dawa za kulevya kwenye mapambano yake, alitumia u*me wa bandia ili kukwepa vipimo.


Bondia aliyetisha sana enzi zake na kuporomoka ghafla kabla hajachukuwa uamzi wa kustaaf katika mchezo wa Masumbwi Mike 'Iron' Tyson ameeleza ukweli kuwa alikuwa akitumia dawa za kulevya wakati wa mapambano yake yote makubwa.

Tyson ameanika ukweli wote huo katika kitabu chake "Undisputed Truth" ambapo amesema kuwa alikuwa akitumia uume wa bandia kukwepa vipimo vinavyoangalia kama anatumia madawa ya kulevya ambavyo vilikuwa vinachukuliwa kwa njia ya haja ndogo.

"I had to use my whizzer,which was a fake pen*s where you put in someone's clean urine to pass your drug test" Ameandika Tyson.

Mike Tyson amefunguka jinsi alivyokuwa akiwachezesha wapimaji ambapo siku zote alikuwa anatumia uume wa bandia uliojazwa haja ndogo ya mtu mwingine katika timu yake, na kisha kuzuga kama anautoa mwenyewe hivyo vipimo vinakuwa feki.

Tyson amesema alikuwa anatumia dawa za kulevya aina ya Cocain na Marijuana mara kwa mara na akakumbushia moja kati ya situation alizokuwa anavuta ni pale alipokuwa ameenda kwenye Press conference na Lennox Lewis huko New York,mwaka 2002 ambapo alitaka kumvaa Lennox pale pale.

“I lost my mind,”Tyson recalled,“I looked over at him and wanted to hit the motherfucker,” yanasomeka maandishi ya Tyson.

Thursday, November 14, 2013

MASKINI HUYU MAMA,TAZAMA POMBE ILIVYOMFANYA KITU BAYA.AIBU.

LADY JAYDEE 'ANAKONDA' SASA YUPO MBIONI KUMILI RADIO STATION YAKE:


Achilia mbali mafanikio aliyoyapata kujenga jumba la kifahari,kumiliki mgahawa wa kisasa(NYUMBANI LOUNGE),Kumiliki bendi ya muziki,kufungua STUDIO YA MUZIKI,na hivi karibuni yupo njiani kufungua RADIO STATION yake binafsi,can u imagine???.Kifungua Radio Station siyo kitu cha kawaida especially kwa wasanii wetu wa hapa Bongo.

Kwasasa hakuna msanii awe wakike au wakiume mwenye ubavu wakuweza kushindana na huyu bidada,SHE IS NUMBER ONE.

Kama ulikuwa haujui huyu ndio KOMANDO na huu ndo uchawi ambao msanii yeyote mwingine hapa Bongo hajaweza kuufanya.

Tuesday, November 12, 2013

DUH KUMBE HII NDIO SABABU YA KUTEKWA KWA MSANII MATONYA HAPO JANA.


Mwanamuziki nyota wa kizazi kipya usiku wa kuamkia Jumatatu alionja joto la Kiwe baada ya kuteswa na kusurubiwa kisha kunyang'anywa kila kitu pamoja na gari yake.

Mwanamuziki huyo akiwa kwenye viunga vya Club ya usiku ya Kibo iliyopo Tegeta jijini Dar es salaam pamoja na masisita du wakila bata ghafla kundi la watu watano lilimvamia na kumkamata msobe msobe hadi nje ya ukumbi pamoja na kumrukisha kichura kichura huku akina dada waliokuwa wameandamana nao wakilia kwa uchungu kwa kumwonea huruma.

Habari kamili kutoka kwa chanzo chetu kilicho shuhudia timbwili hilo,kilisema chanzo cha tukio hilo ni kudaiwa kwa Matonya na mtoto wa mjini aliyetambulika kwa jina la Evance,"Huyu Evance ni mtoto wa mjini na huwa anakopesha pesa wanamuziki mbalimbali pamoja na wasanii wa Bongo Movie hivyo hivi karibuni alimkopesha(Matonya) shilingi Laki Nne kwa madai ya kuwa hakuwa na pesa ya kula bata wikiend ambapo baada ya kumkopesha msanii huyo alianza kumzungusha kurudisha hali iliyomfanya Evance kuchukuwa hatua ya kumfanyia unyambilisi huo" Kilisema chanzo chetu.

Hata hivyo baada ya kumkamata Msanii huyo,Evance alimpeleka Oysterbey ambapo aliacha gari na simu kwa makubaliano atakapoleta pesa hiyo atapewa gari yake na simu.

DAAAH HAYA KWELI MAJANGA,SINA LA KUSEMA JUU YA HUYU MKE MTUKUTU ANAYETEGWA NA MUMEWE.USHAURI PLEAZ.


Hivi wanawake ni watu wa aina gani? Naombeni ushauri jamani,nilikuwa na mpenzi akanisaliti akaenda kuolewa na lijibaba nikatafuta mwingine,nimezaa naye mtoto mmoja na tunaishi kwa furaha,cha ajabu ameanza kunitumia messeji na mojawapo ikiwa hivi,nanukuu.

"Najuwa nilikukosea samahani sana ila naomba umwache huyo mwanamke,amini nitamlea mtoto kama wa kwangu,kumbuka unafahamika mpaka nyumbani familia yangu inanicheka kwa nilichokifanya". Huyu mwanamke ninayeishi naye kaiona hiyo messeji kaniambia nimsamehe na yuko radhi kuondoka.... Sasa nifanyeje nishaurini.

By.Silvester Limota.

JOKA HILI LAMMEZA MWANAMKE HUKO AFRIKA YA KUSINI.HABARI ZAIDI SOMA HAPA.


Linda Laina Nyatoro, a South Africa reporter witnessed the incident and sent this picture.The giant snake swallowed a woman two days ago,near Durban North,South Africa.